
I remember nilikua Sina job nkaambiwa Kuna place wako na conference ya 3 days na job Iko available ni ya kuosha viombo then malipo ni 400 per day and 200 siku ya mwisho coz ilikua half day. Nilienda nkachapa job vi proper then day 3 nkatoka na 1k yangu safiii💪💪
0
0
0