
I saw Walami hukua na a certain culture ya mobile kitchens. Izi mobile kitchens msee analipia tu parking fee ya Van yake na anauza fast foods kama burgers, hotdogs etc, I was thinking is this thing possible huku Kenya? For us msee anaeza uza kitu kama smocha, beef samosa, smokies, fries , fresh juice etc
Just a thought, ama nyinyi mnaonaje hii idea?
0
0
0