I started a business but kibahati mbaya nikapata challenges na ikaanguka. It's a poultry business. Ilikuwa inaenda vizuri sana at least I could feed my family. Then this happened. Vifaranga didn't survive and everyday I lost four to five birds kwa rodents na preys. I've tried everything kupata support nisaidie biashara to no availe. Ata bank kupata loan haiezekani. What can I do to restart bizna. It's all I had
0
0
0