
I think as creatives tunafaa kua worried sana with Google. Bana imetoa kitu kali—Veo 3 AI. Unaandika prompt kama "young boy running in a dusty street at sunset" na AI inakutengenezea clip fiti. Hii si mambo ya template, ni video original, cinematic. Perfect lip sync, perfect body proportion. Saa hii msee anaeza tengeneza film bila camera, bila actors, bila location. In the next 5 years nyinyi mnaona tunafaa kuadjust aje tusitoke soko?

0
0
0