I think Dennis kitu ya kwanza anafaa kuangalia location poa ya kuweka kibanda which itamletea customers kwa wingi example place kuna shops ama ata place kuna companies juu most people wenye wanafanya kwa makampuni lunch waukula kwa vibanda na the more tasty chakula yake iko poa the more atavutia customers...number two akipata location airembeshe juu customers wengi wanapenda ambience sana na hygiene...akizingatlia hizi its very likely apate customers enough wa kumake profit poa
0
0
0