I think idea ingine ya kuuza nguo ni kutafta influencer mpoa kenya then anakufanyia marketing yes unamjenga kakitu but products zako zitasonga vibaya sanaa