
I think mayouth wengi wanahepa hii stori ya ukulima aty coz ni kazi chafu. Mim ka Mesher naweza fanya farming ka full-time hustle nkieza pata hio chance. Saizi mimi ni mkulima mdogo wa kuku coz naishi kwa rentals apa Nai. Iyo chance ikikam niget place naeza lea kuku na nipande mamboga na najua naweza enda far. Mi naona msee akiweza du farming hawezi kosa food ady siku Jamo. Na pia anaweza lipia watoi fees na akae maisha ingine classic. #Mesher siku zote
0
0
0