
I think vile vijana wengi wameanza kupenda drake msee aanze kuchora hiyo logo ya drake ya bundi kwa shati za wasee anaeza kula fity aki wakiona ovo tu wee alafu unaandika dreams and nightmares tu vile wanaamini bundi ni bad luck in many african societies but kwake aliitumia kuovercome obstacle ikakaa kama nightmares tu
0
0
0