
I usually, transfer all my daily earnings especially if I have hit or bellow the daily target 🎯, then nabakisha fuliza tu io ndio natumia kubuy ma expenses kama food, the rest naweka kwa account of which io pia nakuaga nmegawa kuna locked saving na normal locked savings ni ya project nko nayo mostly
0
0
0