I want to start a multi hustle shop hapa Mwatate. Nataka kuventure kwa computer internet service , photocopy na typing, alafu hapo nataka kuweka depot ya mayai. Kama Kuna mtu anaweza niunganisha na supplier wa mayai aniconnect ..
0