
I was fooled by a friend kuna loans zinapenwa nijaze form haraka haraka ...wee sema Ku close shop na kukimbia Kwake for more details coz alisema niwai kabla watu wengine wachanuke🤣🤣.
Mimi huyooo teke teke nikaclose shop ,kanduthi mbio hadi kwake since ilikua Easter nikapata kuna mlo umeandaliliwa hapo Ka mbuzi kidogo ,tuvinywaji hapo but akili ilikua kwa loan namuuliza bro niaje ile stori !
Msee ananishow tulia kuna vile nkama system zimekua low coz nafungua app haifungui..but bro tukule Kwanza Bana si utaanguka hapa ..nikaingia kurarua magiabati hapo,minofu ,gathufu ..but...kidogo kidogo situlii bana...namshow acheki anafungua bado..
Ni vile Kwa akili nlikua nshapangia hiyo doh vile nitaongeza ka stoko ki mejja 🤣 😎 nakula kiasi 5 mins niko zile " bro ebu cheki hiyo stuff ..I need cash ..msee ako zile za "relax man good things utakaga patience..
nkatualia kitu saa saba after tumekula kambuzi ka soda hapo na stori stori ndio msee akanishow bro unajua leo ni easter na am happy umekam tukashare najua ningekushow ukam hungekam so ikabidi since bado ni fools day nikaona nifanye ma mixing hapo.
....so to cut a long story short " man hakuna stori yeyote ya loan ama doh😳this was my way of inviting you as my friend tusherekee Easter pamoja.🤣🤣🤣 So that's how I was fooled by my friend but at the end it turned out well and I really appreciated his noble gesture as a friend but ya next time lazima nimuwai ata Mimi.
Nb.fools day uisha officialy by noon ya 1st April so don't fool any one past mid day and also remember to fool responsibly.
