
I was in the market the other day naona wanabiashara wako kwa kikundi ya kuchangiana sukari weekly plus 200bob daily, I was so impressed, guys out here mko na ideas fiti that promotes unity pale sokoni na pia this strategy promotes hardwork, big ups 👏👏
0
0
0