
I went to a certain cyber cafe to type & print my work. Ju vile sikuwa na pesa za kutosha nkaitisha computer mwenyewe nitype then they charge me printing. Nlipata Keyboard⌨️ maandishi yalifutika. Kazi ya 2 hours I took 8hours. So when delivering services make sure your equipments ziko ok.

0
0
0