
I will share a story today, please share with it also with other people.
Jana nikiwa kwa hustle yangu a certain elderly woman I know came running akaniambia "... kijana yangu ongea na huyu mtu Kwa simu nikama anataka kuniibia pesa ..."
To keep the long story short, alipigiwa simu na fraudsters. Friends do not share your personal info with any untrusted people, mambo na mpesa pin, mpesa balance or anything. Let's be keen and avoid to be conned by fraudsters. Siku njema wadau.
0
0
0