I wish tungekuwa tunaidiana. Like msee anapost Facebook page yake hapa, sisi wote tunaenda na mfollow, ata kama ingekuwa kila siku tunafollow watu kumi and i mean kila mtu , tungekuwa mbele. Kama sahii nimeomba watu wanisaidia kwa channel but wapi. https://youtu.be/TR43RiZ5Pq...
0
0
0