
I would like to take this opportunity to say thnks to mesh group.hii idea ya kutujenga loan ni poa Sana itakuja in handy pia kusaidia wengine wetu tulikua tumekwama Aki.Ninaweza shukuru nikpata hyo opportunity since corona ingie imeaffect job ya mzee wangu na mm ndio nimekua tegemeo kwao .so ile nauza kwa biz ndio nabuy food kwa hao alafu napiga huzzy jek kulipa keja.so one affect biz yangu venye nikaget capital ya kuipiga boost Tena naweza feel poa Sana .be blessed Wana mesh fraternity
0
0
0