
#ibrahimumswahili Kuna hii trick ingne utumika na makanga na dere wa mostly Nissan matatu Unapanda Nissan na unaenda kwa side ya dere . After starting your journey 5 minutes mlango inafunguka then makanga nakushow ufunge usianguke wewe na kiherehere yako unafunga but inakataa kufungika ni makanga anashikaga handle isifungike then dere Ako apo anatry kukuibia simu . After mission accomplished washakupora mlango inafungika then makanga anakishow umeangusha simu . Wewe unabelieve na unashuka na gari inaondoka hivo simu yako imeenda Kaa rada chanua mwezako
0
0
0