
Idea naeza share na Samson, kama uko social media, unaeza fungua account and post your work, location na prices za hizo commodities unauza. Mi nimekua nikipost and with time nilikuja kupata clienteles from WhatsApp groups, Instagram na tiktok. You can also advertise your work na pia uoffer delivery services. 💯
0
0
0