
Ideas ziko mingi, Unaeza Anza kuuza staffs on-line Kama ni mpya ama 2nd hand since Facebook iko na market place it makes it easier. Si lazma biashara ikue yako ,unaeza partner up na mtu anafanya biashara then ukue unafanya marketing for him/her. Bt u make sure uko trust worthy since Market place hukua ya wakora wameingilia Sana. Reach out kwa companies uwafanyie adverts, marketing etc. na Ivo ndio unaland ku earn pesa
0
0
0