
If you ask me, natumia hio pake kuzama biz ya perfumes na ankle socks. Hapa target market ni almost kila mtu, sana sana students. Kazi ni kutembea hostels na bag kwa mgongo na samples kwa mkono. Utaitwa tu. A packet of ankle socks costs 3800 bob na iko na pairs 150(Color utachagua),size meduim...Each pair inaenda na 50 bob so hio inakupa margin ya around 3k. Juu hapa around campus chances are either students watakutafuta ama unaeka display alongside bez ya shops. Perfumes pia noma. Mimi kwanza nataka kuanza hii na 6k, chupa na perfumes same way. Hii iko na potential bigi sana tho watu hawajui. Ukidai more info nitext. Aafu naomba Mesh wakam thru wanijenge kwa hii hustle. Shukran.

0
0
0