
If you have atleast three of the following characteristics just know you still have a long way to go.
-If you consider owning apple gadgets as ‘rich’
-Kama mlango yako sio ya lock,ukifungua unaingizanga mkono huko ndani nikama unakamua ngamia
-Unaoganga juu unaenda town
-Kama unadhani mtu ni mjinga juu anaongea mother tongue proper
-Kama kitanda yako imeshikana na ukuta
- Kama Tv yako ni ya Vitron,or vision
-Kama hauna clock kwa nyumba
- If your girlfriend asks you for money to even buy basic things in the house,sugar,salt,Water refilling,token
This is the litmus test to know what position you are in life.
0
0
0