
π "If your business is not online, itβs invisible."
Last week nilikuta mama mmoja anauza viatu safi pale Gikomba. Quality iko juu, bei iko fair. Lakini guess what? Hakuna mtu anajua unless apite hapo physically. Customer mmoja akanunua viatu sawa online kwa bei ya juu mara mbiliβkwa sababu ile shop iko Instagram,faebook na Iko optimize Google na iko na branding poa.
π Hapo ndipo tofauti huanza. Not product. Not price. Visibility.
β With AI + design, hata SME ndogo inaweza:
Kuwa na branded posts zinavutia macho ya wateja
Kuonekana professional kwa social media
Kuongea na customers 24/7 kupitia smart content
π Bila visibility, uko invisible. Ukiwa visible, unaanza kuuza.
#AI #Branding #SMEGrowth #DigitalMarketing

0
0
0