
Ikifika pande ya Catering na Hospitality, hii biz ukijituma huwa inalipa sana.
But sasa kuna down side unapata msee pale mtaani anafungua kibandaski, but wateja wanamhepa after kusample food yake. What are the some of things huwa inachangia kuloose customers.
For me ni food portioning, ukinipimia food kiaci na nimekupea doo mingi, suwezi rudi hapo. Kama last time napimiwa pilau na 300ksh kwa ile tin ndogo na hakuna nyama walai mimi sikurudi huko 😅😅😅😅
Ebu tuchanue watu wa Catering what we want as customers hapa kwa comment section. 💯💯
0
0
0