
🤔Ikikam kwa stories za taxes, biggest challenges for small business na watu wanafanya biz ndogo hapa na pale huwa gani?
a) Ku-calculate amount ya kulipa huwa confusing. b) Ku-understand tax laws huwa hard sana. c) Kujua required documets na place ya kuzi-get. d) Tax forms na process huwa na story mob, kujifanyia huwa ngumu. e) Others(tuchapie kwa comments).
0
0
0