Bei ya bidhaa ndio ghali au timing yako ndio iko off?
Ikikuja kwa Soko, timing ni Kila kitu.
Kuna bei ya soko ya asubuhi yenye watu hukimbilia ndio wabuy bidhaa cheap. Hapa ndio unapata wasee wa kuchagua camera , mangware kabla 6 a.m.
Ukufika soko ya Gikosh ya viatu at 10 am. hawkers huwa wanakunywa chai, washauza, hawana haja sana na customers.
Pia kuna traders wenye huamkia soko ya matunda na mboga @4:00 a.m. ndio wapate matunda cheaply. Fika CityPark market upate traders wanalala huko wakingojea vans za cold-storage za imported apples 🍎, grapes 🍇 na fresh veggies 🥦, zifike.
Kuna bei ya jioni yenye utapata fresh produce kama ndizi 🍌 na maembe 🥭 kwa soko zikiuzwa bei ya kufagia, kabla ziharibike.
Soko zingine ni seasonal.
Master the timing, get good deals.
Chelewa, and you lose out big-time!