
Ikikuja ni story ya cabinets, storage, kuunda maofisi na spaces zote za biz mimi huprovide hizi solutions zote.
Kuna wale wa Gypsum, acoustic ceilings, hizo pia naperform ligi soo.
Niko based Ruaka, lakini shuguli napiga Kenya mzima and beyond. Hii sector ya Mjengo imeniinua sana na Niko na bigger dreams za kuenda ligi soo.
Muriuki +254710459077




0
0
0