
Iko ivi man.
Yutman hana job!
Yutman ako na skills!
Comrade uni schoolfee aipatikani,ikipatikana ni loan
Mzazi nyumbani Anaku any
Biz unaenda kuzubaa kwa shop siku mzima
Stima ni expensive kuliko kubuy battery za torch
Kampuni za kuemploy awa vijanaa zitarun aje?
Rent italipwaje?
Food itapatikanaje?
But prezo akidai 800million ya renovation,anapewa
Prezo akidai 1 billion ya furniture ya state house,anapewa
Ukiambia prezo tulia,tuachie pia sisi tudishi kidogo,anatuma squad ikuue
Ukiambia prezo basi ata kama mnaiba doh,wacheni kuficha majuu,isafishieni apa irudi kwa economy angalau tusilale njaa,anatuma squad inakuua
Sasa ni youth anyamaze akufie kwa nyumba na njaa ama aamue enough is enough,atokee apiganie future yake,ameibiwa ya kutosha.
Juu vile iko ata loans zinachukuliwa,azisaidii uyu yutman,lakini ni yeye bado atalipia. Mdogo mdogo Mpaka siku adedi!
#OccupyStatehouse2025