Ile design round hii wanavaa mask hata haifikii vile covid ilifika Kenya mara ya kwanza, Lakini wengi wanavaa kuongopa polisi na si Corona. Maze Corona iko ni real jikingeni kabis #MOHGuideliness