
Ile story ya gava about free internet ni kama inaenda through. Hapa Emali since last month technicians wamekua wakieka line ya faiba to set up the hotspot Kwa hii region. This is good news to locals wenye wanatumia mneti sana na pia Kwa wasee wa cyber services. With free internet you can hop in Kwa net na u learn new skills from there for free. Hii move ya gava ya free internet unaionaje?

0
0
0