Imagine beshte yako mwenye ni new kwa bizna anapitia challenges haelewi kwa bizna yake so unapata hamake good sales . wewe kama a business person ni advice gani utampea inaeza msaidia?