
Imagine losing out on funding juu kazi yako haiko protected?
What does that even mean?
Your creative work ni intellectual property(I.P) yako.
1.Ka wewe ni msanii unafaa ku-copyright ngoma zako ili kuzuia piracy na u-earn royalties.
2.Ka wewe ni music producer ka Magix Enga, unaweza copyright beat yako/ sound recording/ music arrangement ndio msee mwingine asiitumie ku-make dooh.
3.Kama una biz flani unafaa ku-trademark logo na brand-name yako ndio uwe unique na wasee wa-identify na brand yako.
4.We ni innovator? Ume-come up na idea mwenda e.g. solar-powered drones. Patent kazi yako; Register trade secrets na industrial designs zako.
Investor, anataka ku-invest kwa mradi yenye ni sure-bet. So as you register your biz, make sure umeregister hizi elements muhimu za Intellectual property. It acts as a safety net and a comfortabe assurance kwa investor that his investments will be secure. Hizi ni creative works zako & you need to protect them ili mtu mwingine asifaidike nazo.
