Imagine msee alikaa chini akafikiria life ya vijana vile Iko kwa ii generation. Alicheki vijana wanapitia alot sana in terms of employment, drugs na scandle za hapa na pale. Uyo msee akasema acha nicome up na platform yenye ita-empower na uplifting lifestyle ya vijana. I guess apo ndo idea ya mesh platform ilitokea, now mesh is bigger and better. Youth have been educated and empowered. This is a great milestone am proud of it