
"Imagine nikaingia na confidence nikabite samosa… kumbe ndani ni minji na carrot. 🙂 Hii ni heartbreak hauna nguvu ya kuexplain kwa boys. Nilikuwa najiona nikishiba minced beef, kumbe nimeingia AGM ya Vegetables Ltd 😂😂. Meshers, tumekubali hii ni trauma ya samosa ama? Na si ati harusi pekee ndio hutuletea hizi surprise fillings bana 😂."

0
0
0