
😂Imagine umekaa hapo for hours buana unachora kitu kali, then unashindwa na msee ata aliweka zero efforts. Ata ndio naambianga wasee to accept disappointments in this creative field
Ata nyinyi mkiona hivi, was the competition valid? How would you feel if it were you?

0
0
0