Imagine watu wawili wanashare wallet moja. 😅
Mmoja anaweka pesa.
Mwingine anatoa pesa.
Wasipopatana...
Wallet inaisha haraka. 😂
Hivyo ndio cash flow ya biashara hufanya kazi.
Customers wanaleta pesa.
Suppliers wanatoa pesa.
Shida huanza supplier akitaka kulipwa ndani ya siku 30...
Lakini customer atalipa baada ya siku 60. 😬
Biashara inaweza kuwa na sales...
Lakini cash ikosekane.
Ndio maana cash flow si game ya profit pekee.
Ni game ya timing.
Jua nani anakudai.
Jua nani unamdai.
Ju biashara haiendeshwi na sales peke yake.
Inaendeshwa na cash. 💰
Ushawahi kuingia kwa hiyo 30-day gap? 👇
0
0
0