
Imekuwa noted that huwa tunakula ndio tushibe, most people hawajali what the food contains, I'd have loved to share some videos to put more emphasis on the same. Sisi huenda hoteli kula ju tumbo ikiitisha imeitisha, but hatujui hizo food zimetoka wapi, wametumia Nini kupika, we just pray ikuwe safe, but are you safe yourself?
Najua Kuna mtu ataargue na aseme yeye ni wa Ocha wanakuza hizo food na wanakula from there, but cheki, as the farm produce zinamea mnatumia fertilizers, kinyesi ya ng'ombe ama any other animal which might transit the bacterias Kwa body zetu
All I mean is that hatujui ni chemicals ngapi tunaconsume in a day hivyo our guts zinabeba uchafu most which might not realize. Body yetu huwa na toxins which could be from air, water food or medicine. To get rid of this toxins tunafaa kudetox, si ile ya tei๐๐. Detoxing is getting rid of the harmful toxins in our body kama vile tunaona Kwa hii pic๐ค
