Imenisaidia nikapata loan ambayo naitumia kuendeleza biashara,nimeweza kununua machine ya kunyoa na products za kuhudumia wateja wangu.pia imnisaidia niweze kusaidia vijana ambao wanataka kujifunza kazi us Kunyoa kwa kuwapa fursa kwa sababu niko na machine extra ambayo mwanafunzi anaweza tumia nikihudumia mteja wangu
0
0
0