
IMPACT KWA COMMUNITY
MESH'ers tukiwa part ya the ever growing family ya Shujaaz Inc, kuna great feeling kuona recognition yenye the whole familia inaendelea kuget. Najua wengi wetu, na especially wenye tuko na badge ya Red; S.C Distributor, tuli participate kwa biz zetu na programs za #LindaFam through the legendary mwenyewe; DJ Boyie.
Mimi the care yenye Dj Boyie alishow pia ilinisaidia sana kwa clients wangu. Juu kuna hadi clients wali admit kukuja kwa biz yangu juu walipata niko na necessarily precautionary measure za ku #LindaFam. Saa ingine its always the little things zenye ukusaidia kukeep relationship poa na clients.
On the same note, join me ku Congratulate team nzima ya Shujaaz Inc and pia ku appreciate the lengths waligo kumake sure sote tuko safe. A healthy client is a healthy business ama namna gani?