
đź’ˇImportance ya kuwa na Business Plan!
-
Ku-prove kama idea yako ita-work: Business plan ita-help ku-set important goals in order na priority ndio utumie time yako poa ku-achieve goals zote.
-
Ku-determine ni financial support gani una-need: Ita-make it easier ku-understand na ku-reach out to potential partners/investors wa-invest doh/skills kwa idea/biz yako.
-
Ku-make vision yako clear: Kama umejipanga fiti, itakua simple ku-attract wasee kwa team yako as employees/management au partners.
-
Ku-reduce potential risks: Business plan itakusaidia ku-understand vile market inacheza fiti, na kujua vile utaji-place ku-beat competition.
-
Ku-position brand yako: Uki-plan biz yako poa, itakua rahisi kujua na ku-uncover future opportunities za ku-try kwa business yako.
🤔Kuuliza tu, uko na business plan?
