In 2020 I started this business ya kuuza mayai ya kuboil At that time one crate of eggs Ilikua 300 shillings Siku ya kwanza niliuza zote na zikaisha The next day I decided to boil two crates and I sold all of them The third day I boiled three crates but unfortunately sikumanage kuuza hata nusu ya crate Moja I remember I tried to eat them nikashindwa kumaliza hata kumi I ended giving free to the neighbors and that is how niliachana na hiyo bizz So my advice kwa wale wanafanya hii biz ya mayai mjaribu kutosheka na faida hata kama ni kidogo please 0768864548
0
0
0