
In order for you to start a tailoring Business ni skills gani unfaa kumake sure ume perect?
• Mtu anfaa kujua, how to run a sewing machine na basic knowledge about the sewing machine is important.
• Unafaa kujua how to measure body measurements.
• Unafaa Kujua how to stitch clothes.
• Pia unafaa kujua the cutting and altering of the fabric.
• Unafaa kujua about all the fitting.
• Unafaa kujua different fabrics na their textures.
• Unafaa ku give attention to every detail while working.

0
0
0