
In the face of current economy, kuna opportunity moja safi sana team Mesh, wakishirikiana na Shortlist, yenye inatu favor sana sisi community ya Online Works/Jobs. Huge percentage yetu, ni youths wenye tuko na skills ama ready ku learn, but funds za kubuy new laptop or gadgets, za ku easy our work, ndio ngori.
With zero-interest financing, Shortlist not only provides a solution to the economic hurdles but pia imekuwa a catalyst ya empowering a diverse online workforce, ensuring that the digital age inabaki kuwa inclusive na accessible kwa sisi sote.
Hopefully, all mesher wenye wamekuwa katika hii ngori wameona. Share na mabeshte pia. And remember the slots ziko limited.
All information kuhusu hii opportunity iko kwa hii link 👇👇👇 https://meshlife.page.link/...
