In the past two years ya covid kuna vitu nimelearn Like kusave doo na kutumia opportunities vizuri. Na pia kucreate opportunities whenever chance inapatikana coz hujui ya kesho #SisiniMesh