
In the spirit ya kujengana cheki hii list : BASIC BUSINESS CHECK LIST
- Set goals • Short Term Goals • Long Term Goals
- Determine product utaoffer kwa market
- Unda business name catchy (kitu itaattract customers)
- Market biz yako which means No :5 5: Jua target audience yako na design utawauzia biz yako
Na kuna basics zingine meshers tuchapiane kwa comment section #Mesh #JengwanaMESHchallenge #Biz #Mentor #Hustle #Community
0
0
0