Inakaa ni kama mzaha, lakini maisha yanazidi kuwa magumu huku akaunti za benki zikizidi kunawiri. Hii ni kwa sababu hali ya maisha haiamui mfuko wako; nia na bidii ndio kila kitu. Chukua hatua madhubuti leo na ujithamini. Jifunze ujuzi mpya, pambana na changamoto, na uongeze nguvu kwenye malengo yako ya kifedha. Ungana na watu walio na maono kama yako. Ng’arisha viatu vyako leo ili zing’ae kesho. Weka comment ya LEARN kama unataka nikupe miondoko ya digital skills zinazobamba kwa sasa! 💥
#Meshers #MaishaNiMesh #HustleHard #YouthEnterprisesKE
0
0
0