
Ingredients: 1cup of milk Melted butter (Blue band) 3cups of self raising flour Baking soda
Usiboeke after church try this recipe ustock mandazi ya over the week ju Bei ya mkate nayo iko juu au sio?
Just mix the dry ingredients ongeza maziwa Yako, Kanda mpaka iwe imeshikana poa na ni soft then let it settle for like 30mins the cut the dough into small small pieces kama tu za Chapo.. gawanya into four or the shape you like .. deep fry kwa medium heated oil! (Bei ya mafuta nayo si ndio hiyo🤣) Aya sending you love and light this Sunday #BlessedSunday #Mesh4Life #SisiNiMesh #Tujengane



0
0
0