
Inspiring the Youths is all i gat in me, najua ina sound common or normal sana but then of what reason is it kuona kesho yetu iki chomeka ?
Mimi najua kesho mbaya hujengwa na leo mbaya. najua badoo hamjanipata, saa tu ondoa shaka. Inspiring the Youths is all i gat in me, najua ina sound common or normal sana but then of what reason is it kuona kesho yetu iki chomeka ?
Mimi najua kesho mbaya hujengwa na leo mbaya. najua badoo hamjanipata, saa tu ondoa shaka.
Ni election perid hivo nataka sema Ma Yut TUJIANGALIE!!!
On behalf of depression in our country, niko hapa kuambia all Youths that Mungu aliweka heart zetu pande ya LEFT, am sure alijua in this life at point vitu hazitakuwa always RIGHT.
Tuzidii shikana nakujengana nyinyi ndio reason as to why sichoki na ata nikichoka naamka upya kusema kesho itakuwa sawa. lets not give up champs, wacha hii ujumbe na ifikie kila Mesh na kila mtu in general.
Kila mtu ni mkubwa kwa uhalisia wake, so usiji shushe, Sometimes si viatu umevaa ni Step una make.