
Interacted na Mkulima Mrs Ndetei (pictured) sometime back, Mang'elete - Mtito Andei in her farm. Doing Moringa Farming. Though my duties then, ilikuwa different; ku'compile report and pictures, I didn't get chance ya ku'learn more about the plant. Niliget kujua vile intercropping ukuwa; quite impressive.
Heard about the plant? Know vile market yake iko? Its uses? Na what client mkulima anafaa ku target?
Please share na sisi kwa comment section.




0
0
0