
Inventory management hua tricky sana if you set you business in a really confined spaces . Design ile yenye ukianza project huwezi anza ingine kama hujamaliza the previous one best example kama project ya kutengeneza gate . It really needs mtu anajua kupanga vitu kwa shop ndio zitoshee zote so guys ni ways gani tunaeza solve this other than kulipia another warehouse ?

0
0
0