
Investing in shares 📉 in Kenya (day 2)
Kwanza let's start with the basics.
Shares ni nini?
Shares ni part ownership of a company.
Meaning ukibuy shares of a company, unakuwa part owner of the company.
Acha niwapee example.
Let's say beshte yako akona pizza 🍕 na wewe unataka slice 🍕 ya hiyo pizza
Rafiki yako anaweza kushow, ili akupee hiyo slice anataka 20 bob
Meaning slice ya pizza itakucost 20 bob
Hii ndiyo same case na kukunua shares za kampuni.
Kila share ikona price yake kama to hiyo pizza slice 🍕.
Na ukinunua hiyo pizza utakuwa na a piece of it.
Same case na kubuy shares za kampuni, utakuwa na a piece of the company.
Meaning you own a piece of the company.🏢
The minimum number of shares unaweza buy in the kenyan stock market ni 100.
Tuseme unataka kununua shares za kampuni ambayo share price ni sh.20
Inamaanisha the minimum investment unaweza make kwa hiyo kampuni ni 100*20 = sh.2000
This is without considering the brokerage fees etc.
Kama ukona swali about investing in shares in Kenya, uliza kwa comments.🗨️
Tupatane Friday for the next lesson,
Itakuwa practical steps on how you can invest in Kenyan shares 😊
